Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Naona mmerudi. Poleni.Mi nmembelza weeeee kagoma nifanyaje tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mmerudi. Poleni.Mi nmembelza weeeee kagoma nifanyaje tena
Kweli dunia imeisha.Hahaha.. nimetaka kukutukana sema nimehofia utabonyeza kitufe cha mezani hapo Pyongyang.
Nimeokoka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Atakula na yule bwana ake aliemficha Siku nzimaa
Tumrudie Mungu... neema zitushikie mwaka huu sitarajii orodha.Kweli dunia imeisha.
Ameeeeen Leo. Shukrani sana[emoji120]Happy Born Day lovely Espy upate baraka na Mafanikio katika kila unachokiwaza, unachotenda na hata kuenenda ubarikiwe sana na uione Kweli katika hekima zake mungu
Aliila yote akaja yeye tu na chogo lake.Happy belated birthday mama...., nilimtuma binti na cake, hope you enjoyed it
Umeona utapeli uloufanya umegundulika sasa umehamia kanisani[emoji134] [emoji134] [emoji134]Mwanamke ni familia katika jumuiya ndogondogo.
Worship is how we express our love, adoration, admiration, and wonder at God’s presence.
There's none like youuuuu[emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji445]
Si ndio!! Au nimesahau, hebu nikumbushe.ndiyo makubaliano yetu haya birthday girl?
Yaani kama wewe umetambua uwepo wake kweli tutubu tu maana sio dalili nzuri kabisa.Tumrudie Mungu... neema zitushikie mwaka huu sitarajii orodha.
Nishamdharauuuuu.ni wa kudharau.
hahahaha kumbe..., ngoja nimalize kucheka kwanza ntarudiAliila yote akaja yeye tu na chogo lake.
TehUmeona utapeli uloufanya umegundulika sasa umehamia kanisani[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Tena uliopitiliza na soon atakufa kwa kihoroHivi @bonny huwa ana wivu!!!!
Mkwe sio ya kucheka haya ujue!!hahahaha kumbe..., ngoja nimalize kucheka kwanza ntarudi