Hahahaaaa!! Nami nimetabasamu tu[emoji85] [emoji85] [emoji85] hebu ninong'oneze why umetabasamu?
Mmmmh!! Hapa tulipofika nafikiri panatosha baba.mbona umenihuku bila ushahidi na utetezi
je tutafika ??
Aiseee!! Nimewaza nikahisi lugha za watu hizo ukute sio tusi[emoji134] [emoji134]Haaaa ilo ni tusi na siyo kama
Hebu fanya nipate hiyo no. MkweMkwe una akili sana ujue!! Haya hebu fanya namna.
Haya Birthday girl...Hahaaaaa!! Usijali kaka yangu, juzi ulinikaribia kidooogo ila leo nimekuacha tena. Ndio basi tena[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Atakuwa amesoma intaneshno skul. Si bureAsante sana babu.
Sijui anayemfundisha ni nani aisee[emoji85] [emoji85]
Kuna siku ntakutembelea pmThank you so much dear friend.
ngoja nifikirie kwanzaMmmmh!! Hapa tulipofika nafikiri panatosha baba.
Kwahiyo ndio umekuja cheka kabisa badala ya kutabasamu!! Ujue mungu anakuona!!hhhhaaahhhh
Sijamuona kwakweli! Sijui kahamia kwa kiduku!!Hivi tangu mwaka mpya sijui kama nimeonana naye
Inawezekana kwa lugha ya kwao siyo tusi but kule kwetu Mara ni tusi tena kubwaAiseee!! Nimewaza nikahisi lugha za watu hizo ukute sio tusi[emoji134] [emoji134]
Mkwe ndio kusema na namba yangu ulifuta?[emoji134]Hebu fanya nipate hiyo no. Mkwe
Kwahiyo ndio umekuja cheka kabisa badala ya kutabasamu!! Ujue mungu anakuona!!
Hamna, hiki kingreza sijui hata kakiokotea wapi!!!Atakuwa amesoma intaneshno skul. Si bure
Karibu sana rafiki.Kuna siku ntakutembelea pm
Ameeeeeeeen mkwe wangu.kheri ya siku ya kuzaliwa mkwe wangu...
Moja tu Mungu akupe amani ya moyo na usikubali iondoke
Sawa, nasubiri mrejesho.ngoja nifikirie kwanza