Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Shukrani sana mkwe. Ujue vile vitenge havikunifikia!!Happy born day mama mlezi .
Mungu akupe maisha marefu espy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani sana mkwe. Ujue vile vitenge havikunifikia!!Happy born day mama mlezi .
Mungu akupe maisha marefu espy
Thanks dear.Happy birthday dear
Thanks.
Heri ya mwaka mpya!!Miss you more [emoji8]
Asante sana mama.yaan usiseme hivyo bhana nimerudi rasmi hadi nitakuwa kero
Nafurah pamoja nawe siku yako leo. Mungu akutunze
kuna ile mida yetu ambayo narudi kwa speed zote leo
Asante sana best.Aise happy birthday best
Sasa miamala vipi au ipo ya kutosha
Thank you swank dear.Happy birthday dear
Ahahahaaaaaa jamani leo nimeshindia kwenye nyumba ya ibada, siunajua dakika za majeruhi hizi.Leo umeamkia wapi kwan si kwa busara hzi zilizopitlzaaa
Hahahaa [emoji3][emoji3][emoji3]!Shukrani sana mkwe. Ujue vile vitenge havikunifikia!!
Nimebarikiwa dear[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8]Ahahahaaaaaa jamani leo nimeshindia kwenye nyumba ya ibada, siunajua dakika za majeruhi hizi.
Hahahaa!! Ile dawa nilowaletea hamkuifanyia kazi eeh!!!Hahahaa [emoji3][emoji3][emoji3]!
Kweli? Aisee wale panya bhana..
Abeeee!
Huku nikimtazamia bwana aweze kunitendea miujiza,,,,Aiseeee inabd uwe unakaa huko huko Mara tatu kwa week
Basi ngoja nikuache tusherekee siku ya kuzaliwa ya atotoAaaaameeeen usnfanye nkaanza kunena kwa lugha hapa aiseee
Abeeee!
mimi ndio wa mwisho kujua birthday yako ??Abeeee!
Daah ! Yaani kama yule wa kwangu ni sheeedaHahahaa!! Ile dawa nilowaletea hamkuifanyia kazi eeh!!!