Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo my dear, have been bussy na kashughuli fulani ila here iam now.Shemeji Roho wa Bwana atakushukia kama Gideoni ua Mitume utafanya makubwa.
Sasa huyu Mwanamke Espy yuko wapi, haonekani hata ??
Daaah!!!Happy birthday espy, Mungu wetu akapate kukupa hekima na maarifa kwa kila siku iitwayo leo, ukapate kumjua na kumtumikia kwa kadri ya uwezo wako. Akupe furaha amani na uwezo wa kutambua mema na mabaya.
Heri ya kuzaliwa kwako mpendwa.
Asante sana mama.Hbd espy uishi miaka mingii
Ahsante sana mpendwa.Happy born day mama yake Heaven na shangazi yake shunie.
Shukrani mpendwa.Happy born day mpendwa,uishi miaka 100
Kakashemeji hebu nimpese haraka basi!!
Hahaaaaa!! Sio vizuri kumsema mtoto jamani!!kivuruge kweli kweli
Ex-hubby miss you!!
Mnaongea na simu au?Ila leo kafanya hujuma bwana... nilijua labda wewe ndiye unasimamia show nje ya hapa ila nakuona online.
Hilo liweke kwenye ajenda.
Ha ha ha mie toka mwaka umeanza sjui mdogo wetu kafichwa wapi aisee
Inaonekana kuna kiumbe kinakata nae cake kwan kwako hakupita hv karbun
yaan usiseme hivyo bhana nimerudi rasmi hadi nitakuwa keroAmen mpendwa.
Sio kwa kufichwa huko jamani, happy new year dear.
Hahaaaaa!! Usijali kaka yangu, juzi ulinikaribia kidooogo ila leo nimekuacha tena. Ndio basi tena[emoji85] [emoji85] [emoji85]Hahahahaha,
Humu ndani inabidi nianze kuwa mkali sasa!
Yaani mnaniona mimi katoto etiiii ???
Teh teh teh teh...........