Happy Birthday to You Espy

Ni kikurya au kizanaki? Sina kumbukumbu vizuri ni lugha gani kati ya hizo ni tusi. Nakumbuka utotoni ulikuwa ukimwambia mtu hivyo ni boonge la tusi.
Nahisi ni kikurya icho na nikionaga jina la jamaa mawazo uwa yanaenda mbali [emoji12] [emoji12]
 
Hahaaaa!! Usinisingizie kabsaaa!! Ile ban sijui ulifanya fujo wapi maana nawe kwa fujo hujambo!!
Hapana sister, nilikuwa nakula mbuzi wangu huo muda wa fujo niotolee wapi? Teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…