Happy Birthday to You Espy

Happy Birthday to You Espy

Hilo ndio LA msing hv umepewa mualiko kwan au kila MTU anasherekea kwao?
Hii naona kila mtu anasheherekea kwao, siye ndio tunataka kuanza kuikata cake ya bidada
Generated-Cover-01.12.18-151578121438.jpg
 
Ni kikurya au kizanaki? Sina kumbukumbu vizuri ni lugha gani kati ya hizo ni tusi. Nakumbuka utotoni ulikuwa ukimwambia mtu hivyo ni boonge la tusi.
Nahisi ni kikurya icho na nikionaga jina la jamaa mawazo uwa yanaenda mbali [emoji12] [emoji12]
 
Hahaaaa!! Usinisingizie kabsaaa!! Ile ban sijui ulifanya fujo wapi maana nawe kwa fujo hujambo!!
Hapana sister, nilikuwa nakula mbuzi wangu huo muda wa fujo niotolee wapi? Teh teh
 
Back
Top Bottom