Happy Birthday to You Espy

Hahahaaaaaaa!!! Rafiki sio vizuri kuvusha[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwa jina ilo acha nivushe tu na tena uwa nalifikiria kwa kulitungia sentence kilugha
 
Kuna kipindi hapa kati ulikarakasha sana watu,
Hahahaha, nakumbuka kuna watu walikuwa hawapata amani wakikuona...
Hahahahaha old good days bruv... We kinda miss that JF.. Hii ya sikuhizi iko boring sana I can even go a week bila ya kufanya chochote humu..

Hata leo ndio nimeona ile PM yako ya Happy New Year..
 
Hahahahaha old good days bruv... We kinda miss that JF.. Hii ya sikuhizi iko boring sana I can even go a week bila ya kufanya chochote humu..

Hata leo ndio nimeona ile PM yako ya Happy New Year..
Hapana kuna watu hapa katikati walikukariri sana wakawa wanakuripoti sana kwa Mods..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…