carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Na kwako piaAsante sana mrs.msomali.
Heri ya mwaka mpya.
Keki wapi nije niko na hela ya forex hapa[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwako piaAsante sana mrs.msomali.
Heri ya mwaka mpya.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwa jina ilo acha nivushe tu na tena uwa nalifikiria kwa kulitungia sentence kilughaHahahaaaaaaa!!! Rafiki sio vizuri kuvusha[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Wala usijaliBest nasubiri zawadi ujue[emoji85] [emoji85]
Leo ni mwendo wa kutafuna tuu, kale kajina espy unakaweka pembeni.Bas Leo cake ziko nying aisee mie huku nshakula ya kwangu
Nimeogopa hata kukwambia nilete zawadi maana naweza pokea ban from nowhere teh teh
Hahahaha bruv ni nini nimefanya mpaka niwindwe humuIla unawindwa mno brav,
Hahahahaha........Simply Black Listed.
Mwacheni Fisadi wangu nyie,Hahaaaa!! Usinisingizie kabsaaa!! Ile ban sijui ulifanya fujo wapi maana nawe kwa fujo hujambo!!
Kuna kipindi hapa kati ulikarakasha sana watu,Hahahaha bruv ni nini nimefanya mpaka niwindwe humu
Mwenyewe ndo nimeona mida hii shemHauja nishitua kuwa kuna kichanga huku. Ngoja nikambebee masile sile nimmwagie mwili mzima.
Mtoto espy anahitaji raha na kupendwa
Hahahahaha old good days bruv... We kinda miss that JF.. Hii ya sikuhizi iko boring sana I can even go a week bila ya kufanya chochote humu..Kuna kipindi hapa kati ulikarakasha sana watu,
Hahahaha, nakumbuka kuna watu walikuwa hawapata amani wakikuona...
Ameeeeeeeen mkwe wangu.
Nakukumbusha tu, parking nimepalilia jana tu.
Hapana kuna watu hapa katikati walikukariri sana wakawa wanakuripoti sana kwa Mods..Hahahahaha old good days bruv... We kinda miss that JF.. Hii ya sikuhizi iko boring sana I can even go a week bila ya kufanya chochote humu..
Hata leo ndio nimeona ile PM yako ya Happy New Year..
Shemeji wa faida[emoji23] [emoji23] [emoji23] unisaidie kummwagia mihela espy?Mwenyewe ndo nimeona mida hii shem
Kalete me nitakusaidia
Alafu huwezi amini kipindi kile viunzi vyote vya ban niliviruka wakawa wanapigwa wao tu teh tehHapana kuna watu hapa katikati walikukariri sana wakawa wanakuripoti sana kwa Mods..
Kwenye hela tutatafutana ubaya,mana napenda hela mangi akasome[emoji23][emoji23]Shemeji wa faida[emoji23] [emoji23] [emoji23] unisaidie kummwagia mihela espy?
Acha utapeli basi jamani!!Happy birthday my sista, nishatuma zawadi yangu halopesa tangu jana, hope you saw it
We kula tu keki yangu ukifikiri sifa[emoji57]Bas Leo cake ziko nying aisee mie huku nshakula ya kwangu
Hebu sema vizuri, ulifanya fujo mtaa gani?Hapana sister, nilikuwa nakula mbuzi wangu huo muda wa fujo niotolee wapi? Teh teh