Happy Birthday to You Espy

Happy Birthday to You Espy

Hauja nishitua kuwa kuna kichanga huku. Ngoja nikambebee masile sile nimmwagie mwili mzima.

Mtoto espy anahitaji raha na kupendwa
Shemeji nilikuwa na mpango wa kutoa taarifa polisi kuwa nimepotelewa na shemeji.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mama kwahiyo umetupa jina langu then ukala keki[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Nitakudai.
Sasa ndugu yangu cake imeandaliwa toka mchana huonekani kwanini tusijitafunie wenyewe.
 
Back
Top Bottom