Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Kakashemeji niko hapa mlangoni nabisha hodi hata mlango haufunguliwi.Nimesema uje uchukue dadashemeji.
Au ongea na max melo aanzishe jf pesa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakashemeji niko hapa mlangoni nabisha hodi hata mlango haufunguliwi.Nimesema uje uchukue dadashemeji.
Au ongea na max melo aanzishe jf pesa.
Umenionea wapi Nalendwa?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]tulikubaliana tarehe 8,
Wewe umekuja terehe 12.
Subiri hadi mwakani sasaa!
Nasubiri pesa ulizodowmload hivyo.Ni wivu wa mods tu, alafu naona unanitafutia ban nyingine
Hivi tangu mwaka mpya sijui kama nimeonana naye
Hehehehe labda.. ila usinizeeshe kiivoSema na uzee nao unachangia[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ni kosa la jinai, sheria ya jamhuri hairuhusu. Hivyo keki zangu mkila mtalipa.Sasa ndugu yangu cake imeandaliwa toka mchana huonekani kwanini tusijitafunie wenyewe.
Kiduku hajambo?Awwww!, Sweety it's your born day!!!!!
Nilikuwa kwenye shughuli mwaya ndo narudi hivyo!, jamani nimechelewa I hope there's a piece of cake for moi!!!
Heaven Sent dear where's ma cake?!
MBITIYAZA na Evelyn Salt nasikia mmeandaa munuso...lol!
Halafu leo Friday, just perfect!!!
Aunty naona majukumu yanakushinda sasa!!Jamani aunt yake hivi hatujaonana toka mwaka jana?! Happy New Year mdada wa nguvu!!
Hahahaaaa!! Kwani una mpango gani na huo umri dear?Hehehehe labda.. ila usinizeeshe kiivo
Kiduku hajambo?
Ziko pale Jangid, vipi nikupeleke tukazidownload? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nasubiri pesa ulizodowmload hivyo.
Aunty naona majukumu yanakushinda sasa!!
Whaaaaat!! Unahamia kwa nani sasa?Hahah!, hajambo nataka kumtema nimemchoka hana sera...
Nipeleke basi, ila mie kichwa ngumu itabidi unilipie training ya mwaka mzima.Ziko pale Jangid, vipi nikupeleke tukazidownload? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kiduku alivyokuteka hadi tunamuonea wivu. Nami tanyoa kiduku basi.Yaani siamini kabsa!!!
Wengine tuko mawindoni humu.. Usinizeeshe plzHahahaaaa!! Kwani una mpango gani na huo umri dear?
Nipeleke basi, ila mie kichwa ngumu itabidi unilipie training ya mwaka mzima.