Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
Haitakamilikamashaka ya nini sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haitakamilikamashaka ya nini sasa
Mamam si kuna mazungumzo tuwe tunaongea dereva wa bajaj asije akatusikiaAkaaa! Kwa nini tujichoshe Bonny?
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] Bonny wewAhaa na mahaba yake sio ya mchezo aisee
HEHEHEEE NAOMBA NA MIE NIONJE HAPPY BORN DAY KIPENZIHeri ya siku ya kuzaliwa ya mwanamke mzuri wa sura hadi roho yake, mwenye kuvutia.
Wewe ni mzuri na mtamu zaidi kuliko chochote
Upendo wangu kwako ni wa kila wakati, siku zote.
Happy Birthday ukhuty
haitakamilika niniHaitakamilika
Ha ha ha ha ha we juice utaikuta ila sa hv nipo huku BoccoNdio nataka juice we niambie kama ipo tukutane pale mtaa wa mbili zero [emoji12] nitakuwa nakusubiria.
Ha ha ha ha kwan uongo sasa hapo huongei kitu tena[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] Bonny wew
huo ubahili sasa bonny[emoji23] [emoji23]Mamam si kuna mazungumzo tuwe tunaongea dereva wa bajaj asije akatusikia
jiandae kutembezwa na rondo dadaNdio nataka juice we niambie kama ipo tukutane pale mtaa wa mbili zero [emoji12] nitakuwa nakusubiria.
Enhee huko huko sasa mie sipafahamu na wewe nasikia unapajua mpaka mlinz wa getin
Hyo ya kumwambia andike tenahaitakamilika nini
asante mpenz njoo keki ipo badoHEHEHEEE NAOMBA NA MIE NIONJE HAPPY BORN DAY KIPENZI
Ha ha ha ha ha we subir Ugen mbona unaharbu sasa lakinhuo ubahili sasa bonny[emoji23] [emoji23]
Ah. Wapi Bocco mbali bana mie nakaribia Mtaa wa kina Ndemla. Teh teh teh.Ha ha ha ha ha we juice utaikuta ila sa hv nipo huku Bocco
Afadhalasante mpenz njoo keki ipo bado
ataandika tu usijaliHyo ya kumwambia andike tena
mna siri zenu kumbe eeeAh. Wapi Bocco mbali bana mie nakaribia Mtaa wa kina Ndemla. Teh teh teh.
Njoo nitakusubiri au niishie hapa alipopewaga wekundu Kaseja Hahahaaaa.
Ha ha ha ha haataandika tu usijali