ulikuwa unapenda kufanya kazi za ndani ila kwa Rogie tu!![emoji53][emoji53][emoji53]niliipata ee mjomba cc rogie [emoji23] [emoji23]
asante sana joninhoHeri ya siku ya kuzaliwa Ukhuty
hahah eee yeye ndo boss siunajua eee mjomba[emoji41]ulikuwa unapenda kufanya kazi za ndani ila kwa Rogie tu!![emoji53][emoji53][emoji53]
itawekwa muda si mrefu usijaliMueke na picha yake tumuimbie itapendeza zaidi
asante mpenzHbd to her,.
Shangazi kufanya kazi za ndani kwa Rogie inakunogea eeeeh![emoji124][emoji124][emoji124]hahah eee yeye ndo boss siunajua eee mjomba[emoji41]
tena sana nimepata boss anaenijali mjombShangazi kufanya kazi za ndani kwa Rogie inanoga eeeeh![emoji124][emoji124][emoji124]
Miaka mingapi now..sasa[emoji12] [emoji12] [emoji23]
duu wew acha tu 38 sasa uzee huooo wajaMiaka mingapi now..sasa
Thanks sweetheart, I love you.namshukur Mungu kwa siku hii adhwim niliyoiona dunia na nakushukuru my love ROGIE umeonyesha kunijali mpk kukumbuka siku ambayo kipenzi chako ndo nimeingia ulimwenguni rasmi nawashukuru nyote marafiki zangu mliyonitakia kher katk siku yangu hii muhimu nakupenda sana mwanaume wew mwenye roho nzuri mcheshi uliojaliwa tabasam katk uso wako love rogie
I'm coming babe [emoji7]Thanks sweetheart, I love you.
Come now, got something special for you.
Hujajitambua wewe..kichwa kitupu hichoasante kwa kukoment
Ha ha ha ha mzee nawah seat c unajua kuna mialiko?Mzee sherehe za watoto wazuri comment haukosi top five.
asante mpenzMahaba nigaragaze
Happy birthday ukhuty
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hapa amesha tafunwa mtu, maana huo utamu sio wamachoni bali wa mdomoni