Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heri ya siku ya kuzaliwa ya mwanamke mzuri wa sura hadi roho yake, mwenye kuvutia na anayenitia mshawasha kila ninapomuona.
Baby, wewe ni mzuri na mtamu zaidi kuliko chochote nilichowahi kukipata kwa ladha, mimi kwako ni kama barafu siku ya jua kali.
Upendo wangu kwako ni wa kila wakati, siku zote.
Happy Birthday Love ukhuty
namshukur Mungu kwa siku hii adhwim niliyoiona dunia na nakushukuru my love ROGIE umeonyesha kunijali mpk kukumbuka siku ambayo kipenzi chako ndo nimeingia ulimwenguni rasmi nawashukuru nyote marafiki zangu mliyonitakia kher katk siku yangu hii muhimu nakupenda sana mwanaume wew mwenye roho nzuri mcheshi uliojaliwa tabasam katk uso wako love rogieHeri ya siku ya kuzaliwa ya mwanamke mzuri wa sura hadi roho yake, mwenye kuvutia.
Wewe ni mzuri na mtamu zaidi kuliko chochote
Upendo wangu kwako ni wa kila wakati, siku zote.
Happy Birthday ukhuty
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi vizungu vigumu sana, kuna mtu alikwishatakiwa happy birthday akajibu the same to you. Happy birthday Ukhuty
[emoji15] [emoji15]HBD...birthday sex ni muhimu sn
asanteHBD mkuu.
[emoji12] [emoji12] [emoji23]Kwa sifa zote hzo warah unamfaham anyway happy birthday kwake
[emoji15] [emoji15]
amin mpenz mdogo wangu wa faida rogie njoo umwalike mdogo atufate wapi leo kwa ajili ya kekHappy birthday dada lake Mungu azidi kukupa maisha marefu [emoji8][emoji8][emoji8] cake wapi sasa
asante mpenz mzigua 90Happy birthday to her.