Happy Birthday Ushimen

Happy Birthday Ushimen

MIKERA MECH. ENGINEERING

Senior Member
Joined
Mar 15, 2016
Posts
118
Reaction score
87
Napenda kuchukua fursa hii kumtakia heri ya kuzaliwa Mzee kijana mtanashati kutoka ushirombo, anaefahamika humu jukwaani kwa jina maarufu Ushimen

MUNGU MWENYEZI AKUJAALIE UMRI MREFU WENYE KUKIRIMIWA HEKIMA NA BUSARA.
Hongera kwa wazazi waliokuzaa,hongera kwa mwanamke anaekutunza.
Hongera kwa watoto waliobahatika wewe ukawa baba yao.

Tafadhali keki tuikate wote baada ya kazi kama ilivo ada .
 
Hivi katika profile wanaekaje maana kwangu tar na mwezi vyo uongo na kubadili nimeshindwa
Kama unatumia app itakuwia Vigumu kidogo kuweka.

Nenda kwenye Web fungua jf u login huko then uende kwenye option ya edit profile kwa uwezo wako utapaona tu.
 
Kama unatumia app itakuwia Vigumu kidogo kuweka.

Nenda kwenye Web fungua jf u login huko then uende kwenye option ya edit profile kwa uwezo wako utapaona tu.
Em nijaribu kubadili sa hivi
 
Back
Top Bottom