Happy Birthday Ushimen

Happy Birthday Ushimen

Dah.... Mwana....umegonga 45yrs [emoji15] umebaki na miaka 3 tu..... Komaaa[emoji4]
Nilisingiziwa aiseeeee......
Kuna mtu amenipunguzia miaka 10.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hapa bado miaka 3, nifikishe namba ya kupumzika kwa ihari.....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Naanza anza jf nilikua nashinda mno jukwaa la Nafasi za kazi na tenda, huko nilikua nakuta Ushimen analeta nyuzi za ajira kila siku, huku akitoa miongozo ya namna ya kuomba.

Ingawa siku hizi ameacha, lakini mdau ana roho ya kipekee sana.

Happy Birthday Mkuu.

Ila shikamoo yangu utaanza kuipata baadaye kidogo.
Asante mkuu....
Niliamua kuacha baada ya moderators kuunganisha treads kadhaa za kazi, tena hazishabihiani.
Then niliona ebu nikae pembeni tu.
Asante kwa kuuona umuhimu wangu wakati uleeeeeee........
 
Asante mkuu....
Niliamua kuacha baada ya moderators kuunganisha treads kadhaa za kazi, tena hazishabihiani.
Then niliona ebu nikae pembeni tu.
Asante kwa kuuona umuhimu wangu wakati uleeeeeee........
Umuhimu wako bado upo, hili zoezi la kutafuta watumishi hewa likiisha (naomba liishe hata kesho) naamini utaendeleza na mimi nitarudi kua mdau sugu wa jukwaa lile lile.
 
Umuhimu wako bado upo, hili zoezi la kutafuta watumishi hewa likiisha (naomba liishe hata kesho) naamini utaendeleza na mimi nitarudi kua mdau sugu wa jukwaa lile lile.
Karibu mkuu....[emoji5] [emoji5]
Nimefurahi kama palikua na wafaidika wa mabandiko yangu
 
Back
Top Bottom