MIKERA MECH. ENGINEERING
Senior Member
- Mar 15, 2016
- 118
- 87
Usihofu nitakuanzishia bibieHappy birthday to ushimen
Namie nawish yangu ikifika nianzishiwe thread [emoji4]
NitakuPM kweliUsihofu nitakuanzishia bibie
Uni pm tu
Pima wanaokupenda na kukujali kwa vitu vidogo.Happy birthday to ushimen
Namie nawish yangu ikifika nianzishiwe thread [emoji4]
Aisee bora vipepeo warudi tuu...[emoji23][emoji23]Happy birthday,ishi maisha marefu ukiwa ni mwenye afya na furaha tele.
Kila la kheri.
Hivi katika profile wanaekaje maana kwangu tar na mwezi vyo uongo na kubadili nimeshindwaPima wanaokupenda na kukujali kwa vitu vidogo.
Usimwambie mtu ila uwe umeweka kwenye profile tu.
Kama unatumia app itakuwia Vigumu kidogo kuweka.Hivi katika profile wanaekaje maana kwangu tar na mwezi vyo uongo na kubadili nimeshindwa
Em nijaribu kubadili sa hiviKama unatumia app itakuwia Vigumu kidogo kuweka.
Nenda kwenye Web fungua jf u login huko then uende kwenye option ya edit profile kwa uwezo wako utapaona tu.
Ok...Em nijaribu kubadili sa hivi
Wananambia haiwezekaniOk...