Nimefichwa na kipepeo [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee bora vipepeo warudi tuu...[emoji23][emoji23]
Sikuoni tena siku hizi...!
Skia nenda Google andika jamii forum. Ikishakuja login kama unavyoingiaga kwenye application ya JF.Wananambia haiwezekani
Administrator ndio anayeweza kubadili
Hapo kwenye mwaka na tarehe hapana uwezekano wa kuedit? Angalia kwa umakini.View attachment 484358 inakuja ivo
Alafu I trust nobody [emoji12]
Warudi tuu aisee...kuna pipo nimezimiss hatareeNimefichwa na kipepeo [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaah ...naendelea kutoaminiHapo kwenye edit your profile privacy toa hivyo vi tick sehemu zote mbili then option ya kuedit itatokea hapo juu.
Show date and month of birth pamoja na year toa vitick yaan paweke off.
Endelea kutoamini hivyo hivyo.
Hapo kwenye mwaka na tarehe hapana uwezekano wa kuedit? Angalia kwa umakini.
Kama hakuna uwezo wangu umeishia hapo tafuta msaada mbele binti.
Hahahaah ...naendelea kutoamini
M pm mondray bibie atalifanyia kazi hilo halafu weka tarehe za ukweli Jan ishapitaNitakuPM kweli
Basi utaniambia pm then tutarusha hewani.Wananambia haiwezekani
Administrator ndio anayeweza kubadili
UsijaliHappy birthday to ushimen
Namie nawish yangu ikifika nianzishiwe thread [emoji4]
Ohooooo.....HAPPY BIRTHDAY mtafiti hewa Ushishimen.
Live longer brother 45yrs
Asante mkuu....Happy birthday to ushimen
Namie nawish yangu ikifika nianzishiwe thread [emoji4]
Pamoja wakuu...Happy bornday Ushimen
Happy b'day
Hahaaa usijali jooh tuko pamojA kula kekiOhooooo.....
Barikiwa sana hewa mwenzangu...[emoji23] [emoji23]
Asante wakuu....Happy birthday Ushimen
Happy birthday,ishi maisha marefu ukiwa ni mwenye afya na furaha tele.
Kila la kheri.
Asante mkuu. Ndio nimeridi toka shamba nikakuta nimetupiwa kheri....[emoji5] [emoji5]Happy birthday mkuu