Asante mkuu, naomba nijiite Mr finance....[emoji12] [emoji12]Happy birthday [HASHTAG]#ushimen[/HASHTAG] ukue zaidi na zaidi
Kila la kheri mkuu....Nimefichwa na kipepeo [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
AsanteeeAsante mkuu....
Nakuahidi nitatupia uzi Wa BD yako aiseeeee
Nilisingiziwa aiseeeee......Dah.... Mwana....umegonga 45yrs [emoji15] umebaki na miaka 3 tu..... Komaaa[emoji4]
Barikiwa sana mkuuhappy birthday ushimen
Asante mkuu....Naanza anza jf nilikua nashinda mno jukwaa la Nafasi za kazi na tenda, huko nilikua nakuta Ushimen analeta nyuzi za ajira kila siku, huku akitoa miongozo ya namna ya kuomba.
Ingawa siku hizi ameacha, lakini mdau ana roho ya kipekee sana.
Happy Birthday Mkuu.
Ila shikamoo yangu utaanza kuipata baadaye kidogo.
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Hahaaa usijali jooh tuko pamojA kula keki
Karibu.....Asanteee
Umuhimu wako bado upo, hili zoezi la kutafuta watumishi hewa likiisha (naomba liishe hata kesho) naamini utaendeleza na mimi nitarudi kua mdau sugu wa jukwaa lile lile.Asante mkuu....
Niliamua kuacha baada ya moderators kuunganisha treads kadhaa za kazi, tena hazishabihiani.
Then niliona ebu nikae pembeni tu.
Asante kwa kuuona umuhimu wangu wakati uleeeeeee........
Shukraan mkuu,samesame.Kila la kheri mkuu....
Karibu mkuu....[emoji5] [emoji5]Umuhimu wako bado upo, hili zoezi la kutafuta watumishi hewa likiisha (naomba liishe hata kesho) naamini utaendeleza na mimi nitarudi kua mdau sugu wa jukwaa lile lile.
hapana hapanaAsante mkuu, naomba nijiite Mr finance....[emoji12] [emoji12]