Happy birthday Vincenzo Jr

Happy birthday Vincenzo Jr

Habari Vincenzo, Tigo inakutakia heri na mafanikio katika Siku yako ya kuzaliwa na siku zijazo. Asante kwa kutumia huduma za Tigo na Tigo Pesa!

Mpendwa Vincenzo, Airtel inakutakia heri na mafanikio katika siku yako ya kuzaliwa. Ahsante kwa kuwa mteja wetu na endelea kufurahia huduma zetu.
 
Kuna siku waifu alininunulia keki kwaajili ya birthday, mie nikapitia bar kukata maji......
Nilikuja kurudi home usiku mwingi na watoto walisha lala.
Asubuhi waifu akawapa watoto wanywee chai.
Namaanisha kwamba, wengine hatujazowea haya mambo na sina uhakika kama kuna mwanaume anafagilia hizi pigo.
 
Hizo birthday tuliozaliwa miaka ya 47 bila kuoanisha matukio kwamba nilizaliwa Mwaka ule wa mvua za El-nino hutuwezi kukumbuka kusherehekea, nafikiri na umri pia unachangia😜🤗

Heri ya Siku ya Kuzaliwa Mkuu

Mungu akupe maisha marefu yenye heri na baraka tele 🙏
 
Back
Top Bottom