Mwanangu wa kwanza ana miaka 19 sasa shule ya bongo hakuna ngazi sijapita πππNenda kwanza shule kijana ukasome achana na mapenzi kusoma π
ArrΓͺter la drogue..!πJe t'aime tellement, mon amour.
Aisee uko kama mimi hizi ni tabia za kivulanaKuna siku waifu alininunulia keki kwaajili ya birthday, mie nikapitia bar kukata maji......
Nilikuja kurudi home usiku mwingi na watoto walisha lala.
Asubuhi waifu akawapa watoto wanywee chai.
Namaanisha kwamba, wengine hatujazowea haya mambo na sina uhakika kama kuna mwanaume anafagilia hizi pigo.
Je n'utilise pas cette stupiditΓ©.ArrΓͺter la drogue..!π
Combien de langues parlez-vous?Je n'utilise pas cette stupiditΓ©.
Happy birthday Utopolo maarufu mjini
View: https://youtu.be/_z-1fTlSDF0?si=uUxAKC_qN5SQgpcQ
View: https://youtu.be/i1c6W0cTDTo?si=omdWwtqMu4or4xSM
Ishi sana mwanetu kutoka kigambonino huna baya mwanetu ishi sana nakutakia maisha marefu kama number za vocha Cc min -me ephen_
Je comprendsCombien de langues parlez-vous?
Je pense que tu ne m'as pas comprisJe comprends
MhmKwani unataka kufanyaje dogo, hem funguka kwanzaπ€£π€£
Unaguna tena badala ya kufunguka mkuu? Kama umemkubali semaaa!π€£π€£π€£ nadhani toto limekaa vizuri (japo simjui)π€£π€£
Pourquoi ressens-tu cela ?
Namjua vzuri mkuu ila upinzani ni mkubwaπππUnaguna tena badala ya kufunguka mkuu? Kama umemkubali semaaa!π€£π€£π€£ nadhani toto limekaa vizuri (japo simjui)π€£π€£
Upinzani toka kwake au wenye nia kama yako wapo wengi?π€£π€£Namjua vzuri mkuu ila upinzani ni mkubwaπππ
Kumbe unanijua!π€Namjua vzuri mkuu ila upinzani ni mkubwaπππ
Wapinzani nawaona sio ma mangi hata kidogo ,hawa nawamudu tuππUpinzani toka kwake au wenye nia kama yako wapo wengi?π€£π€£
Kwa hiyo sasa tatizo liko wapi, nitume niwe mshenga wako dogo!π€£π€£Wapinzani nawaona sio ma mangi hata kidogo ,hawa nawamudu tuππ
Hilo ni jambo la muhimu mkuu , hakuna kitakachozuiaππKwa hiyo sasa tatizo liko wapi, nitume niwe mshenga wako dogo!π€£π€£
Nipo tayari, sa sijui kama naweza kueleweka π€£π€£π€£ ila kama kuna namna umewekeza kidogo basi kazi yangu itakuwa nyepesi sana. Vuta mzigo huo uje K'njaro.Hilo ni jambo la muhimu mkuu , hakuna kitakachozuiaππ