Happy birthday Vincenzo Jr

Happy birthday Vincenzo Jr

Kuna siku waifu alininunulia keki kwaajili ya birthday, mie nikapitia bar kukata maji......
Nilikuja kurudi home usiku mwingi na watoto walisha lala.
Asubuhi waifu akawapa watoto wanywee chai.
Namaanisha kwamba, wengine hatujazowea haya mambo na sina uhakika kama kuna mwanaume anafagilia hizi pigo.
Aisee uko kama mimi hizi ni tabia za kivulana
 
Back
Top Bottom