min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Nikija huko itabidi tukae watatu kaka mkubwa😊Nipo tayari, sa sijui kama naweza kueleweka 🤣🤣🤣 ila kama kuna namna umewekeza kidogo basi kazi yangu itakuwa nyepesi sana. Vuta mzigo huo uje K'njaro.