min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Kabisa mkuuNimeipenda hii,don't give up mangi ππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuuNimeipenda hii,don't give up mangi ππ
Inshallah ππ tajiri shukrani sana tajiri yanguJamani jana nilikuwa busy, sikuingia humu. Happy belated Birthday mzee wa Kigamboni Vincenzo Jr Miaka mingi kwako, na ndoto yako ya kufika Italy itimie π π π π π π πππππππΎπ₯
Saa 4 uliyosema ni ya usiku au asubuhi?Inshallah ππ tajiri shukrani sana tajiri yangu
Usiku kaaangalie kwa umakini nilivyo andika janaSaa 4 uliyosema ni ya usiku au asubuhi?
Sawa sawa tajiriiUsiku kaaangalie kwa umakini nilivyo andika jana
Natuma pm hapa Uzi mtafanya ufutikeSawa sawa tajirii
Utaniambia chap nifungueNatuma pm hapa Uzi mtafanya ufutike
Inshallah πUtaniambia chap nifungue
Sawa sawa tajiri, pm yangu inapokea vocha za Voda πNatuma pm hapa Uzi mtafanya ufutike
Tajiri vp umeshaziandaa au unasubir Yanga afungwe ili upate sababu ya kuzira?Inshallah π
π€£πππTajiri vp umeshaziandaa au unasubir Yanga afungwe ili upate sababu ya kuzira?
Useme kabisa tujue, ili kama n kulala mapema nijueπ€£πππ
Yanga SC bingwa π π π πDaaah! Tajiri uongo utaacha lini
Kumbe ulimsikiliza?π€Dah sasa itakuaje na saa 4 ndo h hapa inakaribia π
Dah kumbe tapeli π kuna demu wangu nlishamuahid kumtumia vocha πKumbe ulimsikiliza?π€
Eh ila mwanamke akiwa tajiri mambo yanakuwa poa knomaAlafu sasa huyu ni tajiriπ