sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
- Thread starter
- #21
Happybirthday Wema Sepetu.
Mungu akupe hekma uache kudhihaki afya za waja wake, asije kukuza hilo nundu mgongoni ukawa kama ngamia.
Akupe baraka na akuepushe na wanaume matapeli wa mapenzi kama Nassib Abdul a.k.a baba lati a.k.a baba mlezi,
Akupe kujithamini na kujiamini zaidi usirudie yale mamikorogo yako na michina ukawa kama kitmotto.
Akupe maarifa na ufaham zaidi katika biashara zako zote,
Amin heri
Maneno ya busara mno....