The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Aisee upendo wangu kwake AD anajua kabisa asije akawa alienda loliondo amekunywa kikombe sasa anataka kuniachaaww noooo!nataka niamini unatania na si vinginevyo,,,hii kesi ataweka wakili gani?hebu thibitisha kuwa ni kweli nijue pa kuanzia plz
SwithatMmmhhh
hii hata mahakamani hawata iweza
Nway
Leo siku yako mpenzi weka miguu ya hiyo
lazy boy,
kimey akupe massage
Preta akunyweshe kwa mrija
Dena Andika akupepee
TF akalete hayo maua
ngoja niandae part
Leo ni Leo asemaye kesho ni muongo
enjoy
Mshikaji una wivu kishenzi acha watu wale vya kwao, tehe tehe tehe.Ebo....hili toto limezaliwa leo na leo hii hii limeshaenda gesti afu linapost Via Mobile.
Dunia inakaribia mwisho wake asee:smash:
Aiseee kumbe nimekosa uhondo kuchelewa kulog in JF, Ok hakuna mbaya lakini. Happy birthday WiseLady, how older you are? Tupo pamoja ingawaje leo nimepata jibu! Usiniulize ni jibu gani, tehe tehe tehe.
Mmmhhh
hii hata mahakamani hawata iweza
Nway
Leo siku yako mpenzi weka miguu ya hiyo
lazy boy,
kimey akupe massage
Preta akunyweshe kwa mrija
Dena Andika akupepee
TF akalete hayo maua
ngoja niandae part
Leo ni Leo asemaye kesho ni muongo
enjoy
Ni lazima nikung'ate sikio maana 9 * 9 = ....asante sana mzee,,,umenichekesha lkn maana napata hisia za hilo jibu,,,lol hata hivyo najua utaninong'oneza bdae kdg
Ni lazima nikung'ate sikio maana 9 * 9 = ....
Happy Birthday Mamito Mungu akupe baraka, amani na upendo katika siku hii na zijazo.
Happy B'day mama!
We tuambie tu tarehe tutairusha siku ikifika!
Mama Mkwe pole sana get well soon.happy bday sweetie ningekuja hapo kujumuika ila niko kitandani naumwa mamy,enjoy