Happy Birthday WiseLady!

Happy Birthday WiseLady!

aww noooo!nataka niamini unatania na si vinginevyo,,,hii kesi ataweka wakili gani?hebu thibitisha kuwa ni kweli nijue pa kuanzia plz
Aisee upendo wangu kwake AD anajua kabisa asije akawa alienda loliondo amekunywa kikombe sasa anataka kuniacha
 
Mmmhhh
hii hata mahakamani hawata iweza
Nway
Leo siku yako mpenzi weka miguu ya hiyo
lazy boy,
kimey akupe massage
Preta akunyweshe kwa mrija
Dena Andika akupepee
TF akalete hayo maua
ngoja niandae part
Leo ni Leo asemaye kesho ni muongo
enjoy
Swithat
 
Ebo....hili toto limezaliwa leo na leo hii hii limeshaenda gesti afu linapost Via Mobile.

Dunia inakaribia mwisho wake asee:smash:
Mshikaji una wivu kishenzi acha watu wale vya kwao, tehe tehe tehe.
 
Aiseee kumbe nimekosa uhondo kuchelewa kulog in JF, Ok hakuna mbaya lakini. Happy birthday WiseLady, how older you are? Tupo pamoja ingawaje leo nimepata jibu! Usiniulize ni jibu gani, tehe tehe tehe.

asante sana mzee,,,umenichekesha lkn maana napata hisia za hilo jibu,,,lol hata hivyo najua utaninong'oneza bdae kdg
 
Mmmhhh
hii hata mahakamani hawata iweza
Nway
Leo siku yako mpenzi weka miguu ya hiyo
lazy boy,
kimey akupe massage
Preta akunyweshe kwa mrija
Dena Andika akupepee
TF akalete hayo maua
ngoja niandae part
Leo ni Leo asemaye kesho ni muongo
enjoy

huh!wonderful arrangement dearest,,,hasante sana hebu endelea kupanga,,,maana kweli ze fainesti ana bahati sema haishi kurukaruka kama ndege,,lol
 
Ngoja na mm nitie neno hongera kwa kuzaliwa upya kwenye kpnd hk cha kwarezma mungu akupe uvumilivu kma wa bwana we2 yesu kristu
 
Happy Birthday Mamito Mungu akupe baraka, amani na upendo katika siku hii na zijazo.
 
Happy birthday mpendwa, wish you a blessed life.
 

Attachments

  • Round Rolex cake.JPG
    Round Rolex cake.JPG
    6.8 KB · Views: 36
happy bday sweetie ningekuja hapo kujumuika ila niko kitandani naumwa mamy,enjoy
 
Back
Top Bottom