Happy Birthday WiseLady!

Happy Birthday WiseLady!

Happy birthday mamito, nakutakia maisha marefu na yenye baraka tele

We ndo unaamka? Toto na kitandani lishaanza kukojoa we ndo unalitakia pepi pesdei leo?
 
We ndo unaamka? Toto na kitandani lishaanza kukojoa we ndo unalitakia pepi pesdei leo?

Hahaha nimechelewa ila nimekuja kumsaidia mzazi kufua fua mikojo ya kichanga
 
Happy Birthday Wise Lady Mungu akutunuku maisha marefu yenye afya njema na furaha tele
 
Sante bibi
mzuri kwa party jana
tumekunywa,tumekula tukasaza
daaah maadui tukapatana
marafiki wakapendana zaidi..
sante na ubarikiwe
looking forward to next year again lol
 
......Happy Belated Birthday swtness......!!
May you grow wiser everyday........
 
Happy Birthday my dearest wifi.....
may you be Blessed kindly by GOD and may he give you more wisdom...
Love you!!!
 
Mungu akupe hekima,mafanikio,Amani,marafiki wa kweli ktk maisha yako,akuepushe na magonjwa,umaskini,tamaa zote za mwili na roho,akulinde na kukupigania daima,akufanye kichwa na wala si mkia,usiwe muombaji bali mkopeshaji.
 
Back
Top Bottom