Nitajieni wachezaji bora zaidi kuwahi kuichezea Yanga ukiondoa hawa;
Edibily Jonas Lunyamila
Said Mwamba Kizota
Salvatory Edward
Fred Minziro
Fred Mbuna
Said Maulid SMG
Peter Manyika
Nitajieni wachezaji bora zaidi kuwahi kuichezea Yanga ukiondoa hawa;
Edibily Jonas Lunyamila
Said Mwamba Kizota
Salvatory Edward
Fred Minziro
Fred Mbuna
Said Maulid SMG
Peter Manyika
nitajieni wachezaji bora zaidi kuwahi kuichezea yanga ukiondoa hawa;
edibily jonas lunyamila
said mwamba kizota
salvatory edward
fred minziro
fred mbuna
said maulid smg
peter manyika
Hongereni Kandambili.. Ila inabidi sasa nanyi mkaze ili mfike angalau robo fainali ya michuano mikubwa mikubwa Africa.. Kibarua cha kwanza ni wikiendi hii.. Nawatakia kila la kheri.
Kwani timu gani ya kwanza kufika hatua ya makundi club bingwa? Mpira hamjui mpo mkiani ,kazi kuzungumzia historia,historiA hamjui