Happy Birthday Yanga Afrika

Happy Birthday Yanga Afrika

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
10366211_1398376247135561_2313570752412436675_n.jpg
 
Nitajieni wachezaji bora zaidi kuwahi kuichezea Yanga ukiondoa hawa;
Edibily Jonas Lunyamila
Said Mwamba Kizota
Salvatory Edward
Fred Minziro
Fred Mbuna
Said Maulid SMG
Peter Manyika
 
Watu wa simba post zao ni za kuhusu yanga tu,kweli hii ni timu ya wanachi wote,yani hata kama mtu ni shabiki wa simba lazima ana percent fulani ya kushabikia yanga
 
Watu wa simba post zao ni za kuhusu yanga tu,kweli hii ni timu ya wanachi wote,yani hata kama mtu ni shabiki wa simba lazima ana percent fulani ya kushabikia yanga
yaani wewe yahoo kumbe ni mshamba sana
 
Juma Kaseja
Iddi Chuji
Barthez
Dida
Nurdin Bakar
Ngassa
Kiemba
Tambwe
Okwi
...............
Nitajieni wachezaji bora zaidi kuwahi kuichezea Yanga ukiondoa hawa;
Edibily Jonas Lunyamila
Said Mwamba Kizota
Salvatory Edward
Fred Minziro
Fred Mbuna
Said Maulid SMG
Peter Manyika
 
Wapo wengi sana kiasi hii sehemu haitoshi...

Hawa uliowataja ni baadhi tu ya kizazi cha miaka ya 90 ambao pia hujawamaliza wote...

Nitajieni wachezaji bora zaidi kuwahi kuichezea Yanga ukiondoa hawa;
Edibily Jonas Lunyamila
Said Mwamba Kizota
Salvatory Edward
Fred Minziro
Fred Mbuna
Said Maulid SMG
Peter Manyika
 
nonda shaaban
costantine kimanda
samy bitumba iyela
niyonzima haruna'fabregas'
telela salum'fundi'....
 
nitajieni wachezaji bora zaidi kuwahi kuichezea yanga ukiondoa hawa;
edibily jonas lunyamila
said mwamba kizota
salvatory edward
fred minziro
fred mbuna
said maulid smg
peter manyika

gibson sembuli
peter tino
mziba
mkwasa.
 
Hongereni Kandambili.. Ila inabidi sasa nanyi mkaze ili mfike angalau robo fainali ya michuano mikubwa mikubwa Africa.. Kibarua cha kwanza ni wikiendi hii.. Nawatakia kila la kheri.
 
Hongereni Kandambili.. Ila inabidi sasa nanyi mkaze ili mfike angalau robo fainali ya michuano mikubwa mikubwa Africa.. Kibarua cha kwanza ni wikiendi hii.. Nawatakia kila la kheri.

Kwani timu gani ya kwanza kufika hatua ya makundi club bingwa? Mpira hamjui mpo mkiani ,kazi kuzungumzia historia,historiA hamjui
 
Kwani timu gani ya kwanza kufika hatua ya makundi club bingwa? Mpira hamjui mpo mkiani ,kazi kuzungumzia historia,historiA hamjui

We ndala bingwa wa kutunza kumbukumbu.. Mi nimezungumzia hatua ya robo fainaili we unadakia hatua ya makundi..
ONYO: Viroba si vizuri kwa afya unapokunywa Mchana.
 
Back
Top Bottom