Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Usishindwe kuinuka tukaita breakdownMmmmhh menuna hapa..Leo siku yangu sipesheli natakiwa nikule kila kitu
Alafu mbona simuoni kush
Kush naskia yupo pwani achokoa pweza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usishindwe kuinuka tukaita breakdownMmmmhh menuna hapa..Leo siku yangu sipesheli natakiwa nikule kila kitu
Alafu mbona simuoni kush
Jirani mi sisemi chochote juu ya hili angekuwepo sakayo angenisaidia kusemammmh tabia gani hizo jirani fungua wakusikie wapo humu
HahahahAsante kigoli wangu. Long live!
Mbona kwetu hakunaga sifa mbaya katumwa huyu jamaa eeh😀😀😀mmmh tabia gani hizo jirani fungua wakusikie wapo humu
ngoja aje sakayoooooo[emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] pita hukuJirani mi sisemi chochote juu ya hili angekuwepo sakayo angenisaidia kusema
namtafuta sakayo popote alipoMbona kwetu hakunaga sifa mbaya katumwa huyu jamaa eeh😀😀😀
Sina uhakika kama yupo hewani ila siku ukimkuta popote ukamuulize habari za tangangoja aje sakayoooooo[emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] pita huku
Hapana Mc bado anatafutwa na hivi umefika napendekeza upewe mic😀Mkuu we ndio mc wa hii sherehe?
Hahaha..bethidei gelo abebwa Leo...hakuna ita breakdown wala nnUsishindwe kuinuka tukaita breakdown
Kush naskia yupo pwani achokoa pweza
Kenyaaaa , katulia kimyanamtafuta sakayo popote alipo
Masikini migongo yetu🙁Hahaha..bethidei gelo abebwa Leo...hakuna ita breakdown wala nn
nimeliingiza akilini tyr hebu nambie jiran kilikusibu nin jiraniSina uhakika kama yupo hewani ila siku ukimkuta popote ukamuulize habari za tanga
Mi nitachelewa kidogo maana nimepitia kuchukua zawadi ambayo inatakiwa niibebe na fuso kuifikisha hapo ukumbiniHapana Mc bado anatafutwa na hivi umefika napendekeza upewe mic😀
yuko kenya nitamfata basiKenyaaaa , katulia kimya
UhMweh
Hahahaha...Masikini migongo yetu🙁
Jirani nitakuambia siku nyingine tutakuwa tunaharibu sherehe ya mrembonimeliingiza akilini tyr hebu nambie jiran kilikusibu nin jirani
basi hamn shid jiran mim naenda anza kujiandaa time hiiJirani nitakuambia siku nyingine tutakuwa tunaharibu sherehe ya mrembo
Sawa jirani napitia zawadi yake Mara mojabasi hamn shid jiran mim naenda anza kujiandaa time hii