uje kule nikuvunje mbavu kabisaHapana kule mecheka vingine hapa mecheka vingine
Ngoja nimtafute Kush ndi mambo yake hayaMi nitachelewa kidogo maana nimepitia kuchukua zawadi ambayo inatakiwa niibebe na fuso kuifikisha hapo ukumbini
Naomba uchukue nafasi ya mc ili sherehe iendelee
Tunakaa wote mscheewwWe nenda jikoni mm nitabaki kwenye vinywaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huku asilimia mia lkn vinywaj hapana
Sawa mkuuNgoja nimtafute Kush ndi mambo yake haya
sawa jiraniSawa jirani napitia zawadi yake Mara moja
HahahhaaKuna Tashrifu ujue, lapitiliza hadi Duga Maforoni hilo
Lol.Mmmmh nijue hawa wanakati tanga sehemu gan maana wanaweza wakawa wa tanga sehemu inaitwa kabuku
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]sawa jirani
Usije ukakwama huko Kenya na wewe maana yalekea kuna sumaku hukoyuko kenya nitamfata basi
Yani mtakunywa mpaka mseme please don't kill us with vinywajiAsante...aminia Mzigua itakua ni bak bandua, kata mti panda..........
Nijulishe tanga yenu maana hayo maeneo hayo ya kabuku nayaogopa sanaLol.
Chumbageni mkuuNijulishe tanga yenu maana hayo maeneo hayo ya kabuku nayaogopa sana
Penda sana veve eehYani mtakunywa mpaka mseme please don't kill us with vinywaji
[emoji23] [emoji23]Usije ukakwama huko Kenya na wewe maana yalekea kuna sumaku huko
hufai embe bado linautomvu halifai kuliwa halijaivaπππππ
Sawa MkuuChumbageni mkuu
Hahahahhaa umenikimbia wwuje kule nikuvunje mbavu kabisa
Majani mapana au Nguvumali?Maana kwa hiyo teee kanikumbusha mbali
Nakazia nyuma yakoInshallah.