D
Deleted member 485868
Guest
- Thread starter
- #161
Ahsante sana mdogo anguDada angu uishi miaka mia na kenda
[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana mdogo anguDada angu uishi miaka mia na kenda
ntakujulia hali kila marani kweli lkn huwa tunakumiss sana aisee punguza kidogo
Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
Neno zuri sana lenye uzima ndani yakeTumushukuru mungu kwa kutoka kibali wewe uzaliwe
Pili tumshukuru mama kwa kwa kutimiza wajibu wa kulea mimba yako mpaka miezi Tisa ilipo timu
Tatu tuwashukuru wazazi walio jitoa kwaajili ya kuhakikisha wewe unakuwa na furaha maisha yako yote
NNE ni kukumbushe tu kuwa katika vyote IBADA ndio mwanga wa kujua unako paswa kuelekea
TANO wajali sana wazazi na ndugu zako
Mwisho nikutakie niseme tu mungu akujalie miaka mingi zaidi ila ushuhudie mengi na usimlie na wengine wajifunze
HBD
Vip hyo avatar ni taswira yako shem?Thank you shem
Ahsante sana mpendwaHeri ya siku ya mfanano wa kuzaliwa yna4. Mungu akujalie miaka mingi.
Hahahaha Shem nini lakiniVip hyo avatar ni taswira yako shem?
jirani nakuonaTumushukuru mungu kwa kutoka kibali wewe uzaliwe
Pili tumshukuru mama kwa kwa kutimiza wajibu wa kulea mimba yako mpaka miezi Tisa ilipo timu
Tatu tuwashukuru wazazi walio jitoa kwaajili ya kuhakikisha wewe unakuwa na furaha maisha yako yote
NNE ni kukumbushe tu kuwa katika vyote IBADA ndio mwanga wa kujua unako paswa kuelekea
TANO wajali sana wazazi na ndugu zako
Mwisho nikutakie niseme tu mungu akujalie miaka mingi zaidi ila ushuhudie mengi na usimlie na wengine wajifunze
HBD
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama nakuona hapo ulivyofurahWoyoooooo unipigie dada akee popote pale unitoe
Ukuje ule pizzzaAhsante sana mdogo angu
[emoji8] [emoji8] [emoji8]
nafurah kusikia hivyontakujulia hali kila mara
Hahahahaha...alafu umenikumbusha ujueUkuje ule pizzza
Hahahaa, shaka ondoa birthday girl yupo teacher babu Asprin atawapa darsa mujarabu kabisaUkimpeleka Dada Hajar kunako kizungu usinisahau na Mimi...lol
Hahahah...ila naogopa laana maana bichwa langu nalijua mwenyeweHahahaa, shaka ondoa birthday girl yupo teacher babu Asprin atawapa darsa mujarabu kabisa
Halafu mdogo wako hasubirii huko ndani kaamua kuifata mwenyewe mlangoni au mwaka jana mliidokoa keki yake eeh!?😉Umeana mambo hayo. Tuko vizuri sisi.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
mwanzo umesema nakuchekesha et kumbe cheko ukajamalizia kule bhanaWapi huko? Nikasema aje??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama nakuona hapo ulivyofurah
Akianza kutoa laana wee toka nduki hadi kwa bibi Sky atamstopisha maana ndie pekee anaemuwezaHahahah...ila naogopa laana maana bichwa langu nalijua mwenyewe
Dada uje kabla sjaondoka jaman uwiiii nitaliaHahahahaha...alafu umenikumbusha ujue
Uwiiiii ngoja niweke mitambo sawa nikuje uko..tutaenda na kwenye. .nyama choma mdogo angu
uwiiii haya fanya kujiandaa basi dakika tano nipo hapoHahhaha ninavyopenda sasa
Hhuuuh! Hapo sawa maana nilianza kupata kauogaAkianza kutoa laana wee toka nduki hadi kwa bibi Sky atamstopisha maana ndie pekee anaemuweza