[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Angepata murano kama Wema
Chezea LABOUR WARDS AMBASSADOR wewe?
Anajua kutumia kizazi chake vizuri.
Ni mwendo wa kula kupitia kizazi [emoji13][emoji13][emoji13].
Ndiyo maisha aliyojichagulia,staha unaijua wewe.Maneno mengine kwangu sidhani ni sahihi "award ya kuzaa" tupunguze ukali wa maneno na tuwe na akiba ya maneno
Ni kweli watoto watakuwa watano ana uwezo nao na anajua alifanyalo amesema hawezi zalia chooni
Ni maamuzi yake .wanawake tuwekeane staha
Ndiyo maisha aliyojichagulia,staha unaijua wewe.
Mke halali bila ndoa?Hebu acheni kufuru jamani.Wengine wameliwa hadi wamesahau hereni,naskia alihongwa laki 2 tu,..[emoji23] [emoji23] mond Leo kawadhihirishia umati kuwa zee ndo mke halali hao midosho wanuka k hawana nafasi,ila lile dongo la Ivan nasubiria majibu yake.[emoji1]
`safiii wacha dai avute raha from mbagala to S.A woyeeeee ....... yule mdingi akisikia ataanzisha magonjwa mapya teheteheHuyo ndo zari bana, mgodi umepata mchimbaji HAPPY BIRTHDAY MAMA TEE
[emoji23] na mtatokwa na povu mwaka huu,..kwani ndoa ni nini?ndoa ni muunganiko wa mwanaume na mwanamke kuishi pamoja kama mke na mume katika maisha yao yote..........(sheria ya ndoa 1971 kifungu cha 9).Mke halali bila ndoa?Hebu acheni kufuru jamani.
Adam na Hawa walifunga ndoa kanisa gani au msikiti UPI??walikuwa na cheti cha ndoa?kulikuwa na shahidi.??Mke halali bila ndoa?Hebu acheni kufuru jamani.
Kuungana kwa kuishi kihuni?Au kuungana kwa kuzaa?[emoji23] na mtatokwa na povu mwaka huu,..kwani ndoa ni nini?ndoa ni muunganiko wa mwanaume na mwanamke kuishi pamoja kama mke na mume katika maisha yao yote..........(sheria ya ndoa 1971 kifungu cha 9).
[emoji23] na mtatokwa na povu mwaka huu,..kwani ndoa ni nini?
Zari ni nyoko ona hapa daily newzMke halali bila ndoa?Hebu acheni kufuru jamani.
Hivi waliotuletea mafundisho ya dini Yesu (Issa Bin Mariam) na Mtume Muhammad (S.A.W) na Adam na Hawa ni nani wa kwanza kuwepo?Adam na Hawa walifunga ndoa kanisa gani au msikiti UPI??walikuwa na cheti cha ndoa?kulikuwa na shahidi.??
Heheheeee [emoji23][emoji23][emoji23]Zari ni nyoko ona hapa daily newzView attachment 405364