Happy Birthday Zari The Boss Lady aka Mama Tiffa!

Maneno mengine kwangu sidhani ni sahihi "award ya kuzaa" tupunguze ukali wa maneno na tuwe na akiba ya maneno
Ni kweli watoto watakuwa watano ana uwezo nao na anajua alifanyalo amesema hawezi zalia chooni
Ni maamuzi yake .wanawake tuwekeane staha
Na wengine kwao wamezaliwa 12 ....mama zao sijui tuwaitaje...kuzaa sifa bana..watu mpk wanaloga ili wazae
 
Hata mimi natamani ningewazaa wengi tu hata 6 kama uwezo wakuwatunza ningekua nao,aah ningezaa aisee.
 
Watoto raha bwaanaa....masista duu wanaopenda bata ndio wanaona tabu but in a real sense ni faraja....hasa wakikua vzr wakaizunguka meza ....wazazi wa sasa mda kulea hatuna full kujiendekeza na mambovya dunia sasa utataman mtoto saa ngp ili akupotezee muda??mi nitazaa aisee wengi iwezekanavyo
 
Chezea LABOUR WARDS AMBASSADOR wewe?
Anajua kutumia kizazi chake vizuri.
Ni mwendo wa kula kupitia kizazi [emoji13][emoji13][emoji13].
Jirani na wewe kitumie vizuri.

Hii ndio opportunity mpya ya mjini .

Changamkieni fursa.
 
Maneno mengine kwangu sidhani ni sahihi "award ya kuzaa" tupunguze ukali wa maneno na tuwe na akiba ya maneno
Ni kweli watoto watakuwa watano ana uwezo nao na anajua alifanyalo amesema hawezi zalia chooni
Ni maamuzi yake .wanawake tuwekeane staha
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenziye
 
Back
Top Bottom