tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,419
Na wengine kwao wamezaliwa 12 ....mama zao sijui tuwaitaje...kuzaa sifa bana..watu mpk wanaloga ili wazaeManeno mengine kwangu sidhani ni sahihi "award ya kuzaa" tupunguze ukali wa maneno na tuwe na akiba ya maneno
Ni kweli watoto watakuwa watano ana uwezo nao na anajua alifanyalo amesema hawezi zalia chooni
Ni maamuzi yake .wanawake tuwekeane staha