Happy Birthday Zitto Kabwe

Happy Birthday Zitto Kabwe

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380
Ikiwa leo ni tarehe 24 September unapokumbuka siku yako ya kuzaliwa, napenda kukutakia maisha mema na yenye mafanikio.

Tumetoka mbali pamoja kama mdau wa JF na tumekuwa pamoja katika mijadala mbalimbali na hujatutupa.

Kwa niaba ya uongozi wa JF, tunapenda kukutakia furaha tele katika kuadhimisha siku hii ambayo tunaamini ni muhimu kwako na kwa familia yako.

Mungu akujalie maisha marefu na akuongezee hekima.

Happy Birthday mkuu!
 
For all the advances in medicine, there is still no cure for the common birthday.

happy Birthday and Lots of greetings!
 
Nakutakia kila la kheri kijana wetu Kabwe Zitto umevuka milima na mabonde kisha ukapita kwenye tambalale lakini bado unasonga tu mbele bila ya kurudi nyuma endelea vivyo hivyo mkuu kaza buti.

Mungu akuzidishie na akutangulie kwa kila jambo ulifanyalo.

Leo ni siku ya kutafakari wapi uliko toka wapi unaelekea na wapi uliteleza na ukataka kudondoka na wapi umefanya mafanikio.

Happy Birthday Zitto.
 
A birthday is just the first day of another 365-day journey around the sun. Enjoy the trip
upewe hekima na busara kama mfalme suleiman

happy_birthday_presents.gif

Happy Birthday bro!!!

INSHALAH Mwenyezi Mungu atakupa maisha marefu tushirikiane kuikomboa Tanzania.
 
Just remember you are very close to it...Happy B-day Zitto
 
Happy Birthday Zitto.
Kua mwanetu ukayaone ya dunia.
Wengine huwa hatusherekei siku hii, maana siku hii huwakumbusha mama zetu machungu makali waliyopitia kutupata. Kumbuka tuliozaliwa kabla ya uhuru hata pain killers hazikuwepo. Ni mama kusukuma tangu asubuhi mpaka jioni! Kwao siyo siku ya kukumbuka kwa furaha.
 
Inasemekana mama yake bwana mkubwa mmoja alikuwa anasema,Tanzania hii nini yeye na mama yake Nyerere ndo wamezaa.

Make your parents proud of you one day.
Happy birthday my Brother.
 
Last edited:
Inasemekana mama yake bwana mkubwa mmoja alikuwa anasema,Tanzania hii nini yeye na mama yake Nyerere ndo wamezaa.

Make your parents proud of you one day.
Happy birthday my Bother.
mama yake na francis NYALALI aliyekuwa jaji mkuu.huyu mama huko kijijini kwao sengerema alikuwa anajitapa hivyo§
Happy birthday kabwe zuberi zitto
 
mama yake na francis NYALALI aliyekuwa jaji mkuu.huyu mama huko kijijini kwao sengerema alikuwa anajitapa hivyo§
Happy birthday kabwe zuberi zitto

kuna wazazi wengine huwa wanakuwa hawana hekima wala busara na sasa alieyewazaa kina Bill gates na mimi hapa nae asemeje???

bila shaka huyo mama elimu yake ni std 4
 
kuna wazazi wengine huwa wanakuwa hawana hekima wala busara na sasa alieyewazaa kina Bill gates na mimi hapa nae asemeje???

bila shaka huyo mama elimu yake ni std 4
Jamani mtu alikuwa anajivunia mafanikio ya mwanae ana haki pia!

Ni mbibi hata shule haijui but his son akawa jaji mkuu Tz. Inaonekana mwanawe alikuwa motivated sana pamoja na kutoka familia maskini but hakutumia as an excuse na aliwork hard hadi akafika hapo alipokuwa
 
mama yake na francis NYALALI aliyekuwa jaji mkuu.huyu mama huko kijijini kwao sengerema alikuwa anajitapa hivyo§
Happy birthday kabwe zuberi zitto

ndo hapo tunaaambiwa tuombe hekima na busara kina mama /baba wengine wanazeeeka mvi tu lakini ndani ya kichwa hamna kitu ..sasa sijui hapo mamaangu yeye angesemaje ..na mama yake Bill gates /Obama /
 
Happy Birthday Zitto.
Kua mwanetu ukayaone ya dunia.
Wengine huwa hatusherekei siku hii, maana siku hii huwakumbusha mama zetu machungu makali waliyopitia kutupata. Kumbuka tuliozaliwa kabla ya uhuru hata pain killers hazikuwepo. Ni mama kusukuma tangu asubuhi mpaka jioni! Kwao siyo siku ya kukumbuka kwa furaha.

Baija Bolobi

Umejuaje kama warembo hunuka vikwapa aah aaah aaah
 
Kamanda Zitto, Mwenyezi Mungu akikuongezea miaka mingine kama hii uliyonayo na ukaitumia vizuri kama ulivyoitumia hii iliyopita (kwa busara,hekima na ujasiri mkuu) hakika usijeshangaa jina lako likaingia katika vitabu vya historia ya nchi hii KWA HERUFI KUBWA.
Happy birthday mpiganaji!
 
Duuh hapy bday Zitto,but you will celebratte more cheerfull after u have seen the positive direction of your beloved country Tanzania,so keep it up in searching for those directives and make them work, we are behind you.
 
Back
Top Bottom