Mke wa nani?mahondaw mke wa mtu yupo jikoni sasa hivi anamwndalia mmewe chai. Utakuja kupigwa sitaki nikupoteze ndugu yangu
Haha... anakutembelea kwani wewe host?Mke wa nani?
Sijasema namtaka kimapenzi. Nataka tu awe mshkaji wangu awe ananitembelea tuwe tunapiga misele na open roof.. Si unajua ninavyopenda vitom boy
Wewe si ndio uliniambia kuhusu tom boy?Haha... anakutembelea kwani wewe host?
Hilo la utom boy ndiyo naliskia
Unadhani hata ningekuwa mimi ni wewe ningekubali?Sidhani kama ninaweza kumsitch mahondaw kiasi hicho.
Unataka nianze kuanika siri zako wewe.Unadhani hata ningekuwa mimi ni wewe ningekubali?
Ngoja nikaitafute ile kommenti yako nilete kithibitisho..
Nilete au niache?
Ujue wewe ni Ndugu yangu.Unataka nianze kuanika siri zako wewe.
Hivi yule mwanamke wa tabata uliyempa gono kapona?
Kuwq na ndugu kama wewe shida.Ujue wewe ni Ndugu yangu.
Turudi kwenye mada
Hahaha e bwane badae .. Ngoja niende church..Kuwq na ndugu kama wewe shida.
Na ole wako mwaka huu uongeze mke na usawa huu wa magufuli. Ndugu zako tutakukimbia sisi
Ombea michepuko yako kwanza na wake wako.Hahaha e bwane badae .. Ngoja niende church..
Mahondaw akija mwambie nitamuombea ili afunuliwe juu yangu
nakuamini mzee wa mita 200 huwezi niangushaWewe tena???
Huwezi kosa kabisaa
hii ni mara ya pili unaongea nakujibu tena leo napenda sana ngono yaan sanaKanapenda ngono haka katoto.. Nimekushindwa nakugawa buree
Mmh yaan we saint ivuga unaropokwa tu linalokutoka ni hilo hilomahondaw mke wa mtu yupo jikoni sasa hivi anamwndalia mmewe chai. Utakuja kupigwa sitaki nikupoteze ndugu yangu
Mke wa nani?
Sijasema namtaka kimapenzi. Nataka tu awe mshkaji wangu awe ananitembelea tuwe tunapiga misele na open roof.. Si unajua ninavyopenda vitom boy
Wee muwache tu.Mmh yaan we saint ivuga unaropokwa tu linalokutoka ni hilo hilo
huyu anakoelekea hana tofauti na HR 666Wee muwache tu.
Na nashangaa bado mnapenda anawatukana hivyo
Tehteh. Halafu umeanza kuniiga eeh. Mbona hauendi chachihuyu anakoelekea hana tofauti na HR 666
mmh kukuiga nn tena, mm ndio nimetoka misa ya kwanza.Tehteh. Halafu umeanza kuniiga eeh. Mbona hauendi chachi
[emoji85][emoji85]mmh kukuiga nn tena, mm ndio nimetoka misa ya kwanza.
[emoji15] [emoji15][emoji85][emoji85]