Happy birthday

Happy birthday

Mke wa nani?

Sijasema namtaka kimapenzi. Nataka tu awe mshkaji wangu awe ananitembelea tuwe tunapiga misele na open roof.. Si unajua ninavyopenda vitom boy
Haha... anakutembelea kwani wewe host?

Hilo la utom boy ndiyo naliskia
 
Unadhani hata ningekuwa mimi ni wewe ningekubali?
Ngoja nikaitafute ile kommenti yako nilete kithibitisho..
Nilete au niache?
Unataka nianze kuanika siri zako wewe.

Hivi yule mwanamke wa tabata uliyempa gono kapona?
 
Hahaha e bwane badae .. Ngoja niende church..
Mahondaw akija mwambie nitamuombea ili afunuliwe juu yangu
Ombea michepuko yako kwanza na wake wako.
Ndiyo uje kwa rafiki zangu vipenzi [emoji4][emoji4]
 
mahondaw mke wa mtu yupo jikoni sasa hivi anamwndalia mmewe chai. Utakuja kupigwa sitaki nikupoteze ndugu yangu
Mmh yaan we saint ivuga unaropokwa tu linalokutoka ni hilo hilo
Mke wa nani?

Sijasema namtaka kimapenzi. Nataka tu awe mshkaji wangu awe ananitembelea tuwe tunapiga misele na open roof.. Si unajua ninavyopenda vitom boy
 
Back
Top Bottom