Te Lavista
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,626
- 2,846
Ndio mkuuHukumu inaisha siyo!
kwaresma hii nakunywa soda tu
Dada angu mmMdogo wangu
Nadhani kakuskia....Ndio mkuu
Anatoka kesho andaeni pilau ww na Husnat
Bila shaka kanisikiaNadhani kakuskia....
Happy born day my shem, kaka wa mie, roho ya Husna, rafiki ake Shunie, Swahiba wa mume wangu!!!! Mungu akupe miaka mia nane, nakupenda lakini nampenda babu zaidi, namzimia Shunie wangu.
Tukutane baadae kwenye Keki
Atakuwa alienda kupiga kura shem...Ni ya kweli shem, hujamuoa swahiba wako jamanii
Mmh cake haipendezi kuliwa nyumbani bas mm sitaki hiyo cake
Show ya wanaume hii wao wanabak nyumban kula cake sitak povu hapa mtulie hvyo hvyo
Husna anaweza kuwa ana chembechembe za uchoyompk sasa cake haijulikan n wapi
Kwaresma hiii.....Mmh cake haipendezi kuliwa nyumbani bas mm sitaki hiyo cake
Hilo usijali msee wee si unaniaminia,Asante bro mzee wa mikakati. Tank think mwenyewe. wana bila wewe hawafiki kule ujue. Play smarter.
Wasije wakalowanisha na keyboard lkn.
kwaresma hii nakunywa soda tu
Naamini hivyotuendelee tu kumtafuta tutampata
ata mm naziona dada kwa mbaliHusna anaweza kuwa ana chembechembe za uchoyo
cake ya kuchorwaKwaresma hiii.....
hahahahhahKaa ndan unywe na cake
Mmh cake haipendezi kuliwa nyumbani bas mm sitaki hiyo cake