Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
haaahahhahHuyu arifu anawapanga sana asee!
Na kila mwezi anawapiga changa la macho la birthday yake..
Chalii mtu wa ndumba sanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haaahahhahHuyu arifu anawapanga sana asee!
Na kila mwezi anawapiga changa la macho la birthday yake..
Chalii mtu wa ndumba sanaa
Totoz zipo ligi soo mzeeNa madera/madela yao sio?
Kaone.. Yani haka ndio kangejua tulienda kwa mganga ili kanipende mimi ila Daby akanizidi ujanja akaenda akaogea ile dawa yangu usiku mm nilipanga nikaoge asubuhindio hivyohivyo anatupenda [emoji23]
Khaaaa huyo unaemtaja shunie wako ww shunie mm nipo tofaut na huyo wakoKaone.. Yani haka ndio kangejua tulienda kwa mganga ili kanipende mimi ila Daby akanizidi ujanja akaenda akaogea ile dawa yangu usiku mm nilipanga nikaoge asubuhi
Sasa hivi hakaambiliki.
Hata kakiambiwa kafungishe ndoa ya mkeka na dera katakubali hapo hapo.
Si mtakaona leo kwenye birthday katakavyokata mauno na dera lake manake kana chura hatari..
Atawajulia wapi watoto wazuri kama wewe...hahhahah anaengenijua angekufwaaa madera tunakaa kwenye msiba tu
hahahhahh haina kwereAtawajulia wapi watoto wazuri kama wewe...
Ila baadae upendeze eeh hadi atokwe na udenda.
Ama nini!hahahhahh haina kwere
Kwenda zako, wa kuwishiwa utakuwa wewe??? Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] stun sio kwa dongo hilo brother.
Halafu haujaniwish! !
Shemeji yako huyuKwenda zako, wa kuwishiwa utakuwa wewe??? Hahahaha
Hahaha....Page ya Nne hii na Mkemia mkuu bado amejitutumua utasema zile wishes zinamuhusu hahahhaah
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Shemeji yako huyu
Ila ukileta umanfongo nakuchinjia baharani
husna muba umempa nini kijana wangu? Ona alivyokuwa na mchecheto hadi anachapiaShemeji yako huyu
Ila ukileta umanfongo nakuchinjia baharani
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]husna muba umempa nini kijana wangu? Ona alivyokuwa na mchecheto hadi anachapia
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Yupo pm anachora ramani...[emoji23][emoji23]
Kwo kumbe Mkemia mkuu ndo ameshapata jiko kilaini namna hii?Ugomvi huooo