Happy birthday

Happy birthday

Happy Birthday Daby .. Mungu akuzidishie miaka mingi sana tuone ukitoboa Majuu na usahau mauchungu ya Bongo. Hahaha

Daah, too bad Shemeji hajui kingereza saaana, leo angemwaga ung'eng'e wa kufa mtu.

Ahsante saana Compact. Huko lazima twende mkuu kwa namna yoyote.

Tehteh... itabidi twende naye akapigwe msasa mbele. Ila hicho kiwango ukijumlisha na haba namwona mBritish [emoji4]
 
Daby mwezi wa kwanza si tulisherehekea birthday yako? Hii ya mwezi wa tatu imetokea wapi tena?
Hapo huyu husna 100% gharama kwake..
Vitakoma mwaka huu.. Mwisho wa mwezi unakimwaga unakamata shunnie.. April birthday nyingine.

Mi nafurahi tu kula mikeki hiyo
Mtakatifu hivi unajua mimi ndugu yako? Endelea kuniharibia tu wewe
 
Ahsante saana Compact. Huko lazima twende mkuu kwa namna yoyote.

Tehteh... itabidi twende naye akapigwe msasa mbele. Ila hicho kiwango ukijumlisha na haba namwona British [emoji4]
Atakuona nondo sana. Poa Chalii, furahia siku yako Mkuu.
 
hahhahah kwa nn nisikupitie mzee wa fursa ngoja kwanza tupewe location au ndio wanakata cake wenyewe wawili chumban
We si unazinguaga saa zingine? Nakuambiaga uje yale maeneo tuzungumze maneno fulani hutaki. Kwa hiyo hata leo ukinipitia utafikiri nakuelekeza kule kunako.
 
We si unazinguaga saa zingine? Nakuambiaga uje yale maeneo tuzungumze maneno fulani hutaki. Kwa hiyo hata leo ukinipitia utafikiri nakuelekeza kule kunako.
nitakupitia tusubili location [emoji23]
 
Back
Top Bottom