Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Saint Ivuga unaanza kumwamini eeehsina mm sio Daby kila mwezi birthday
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saint Ivuga unaanza kumwamini eeehsina mm sio Daby kila mwezi birthday
Mbna cake umenipa Mara mbili hii ya pili haikuwa besideisina mm sio Daby kila mwezi birthday
Asaval cake ya kienyej hatar sana hzo cakeulifkili nadai cake gan, mm siji sili boga mlisheni bonny kwa niaba yangu
Ha ha ha ha umeona enhee nipe location bas tustue mizimuNamuona si namwonaga... inaonekana tamu haswa stori hizi zinahitaji Heineken pembeni mzee
Tehteh location nimekupa mzee mwenzangu. Naona koleo la mkumbusho wa cake limekunasa.Ha ha ha ha umeona enhee nipe location bas tustue mizimu
MmhH ha ha ha nyengne zinaoza huzjui enhee au zinakua ngumu kama half cake
kwaresma hii msilitaje hilo jinaNamuona si namwonaga... inaonekana tamu haswa stori hizi zinahitaji Heineken pembeni mzee
hahahhh kama ww unavyomwaminjSaint Ivuga unaanza kumwamini eeeh
Ndiyo maana tunataka mbaki nyumbani nyie.kwaresma hii msilitaje hilo jina
Nitakupa na mara ya 3Mbna cake umenipa Mara mbili hii ya pili haikuwa besidei
Mbona shem mwenyewe kauzu namna hii..!!Hakuna vyeki wala vyuku kuna maboga na mafenesi
mnywe na togwa kabisaAsaval cake ya kienyej hatar sana hzo cake
hahahhhhhTehteh location nimekupa mzee mwenzangu. Naona koleo la mkumbusho wa cake limekunasa.
Tukutane via via
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona shem mwenyewe kauzu namna hii..!!
kwan nyie kwaresma hamuijuiNdiyo maana tunataka mbaki nyumbani nyie.
HahahahhhMbona shem mwenyewe kauzu namna hii..!!
Teh...yupo kwenye uzi wake mmu [emoji23]
Naona imani imeisha kwangu hadi unaanza kuwaamini wahuni kina Ivuga.hahahhh kama ww unavyomwaminj