Unatapeliwa wewe shituka hakuna mtu anakuonea wivu..πWenye wivu wajinyonge wakiongozwa na chawivu KENZY πView attachment 3152105
Chombo yake Mshana Jr
Hajanichagua usiku, kaniona mchana kweupeee
Upendo unatengenezwa mkuu, hata wewe unawezaAise Kuna watu wanapendwa.
wewe yako lini nasi tuje tuwalingishieHappiest Birthday Wifi yetu mzuri, Mungu akujaalie kila lenye kheri tabasamu la Kaka Mshana..!!ππ₯³
uwaringishie kina nani mdogo wangu..!?wewe yako lini nasi tuje tuwalingishie
mashankupe ya humu!uwaringishie kina nani mdogo wangu..!?
Hivi kwanza hua wanajuana aje humu mkuu...π€Kumbe humu mnadinyana na hamsemi
My Birthday mate....Awwww
Thank you so much my love ππππ
I love you more than the words can explain