Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]kama sanduku.Unazaliwaje mwezi wa 5 kama Sanduku?
Uwe na maisha marefu na yenye baraka tele.... Happy birthday to you.
asanteeHappy birthday to you!
amen, thanks brethrenNiliifurahi familia moja wanafurahia birthday ya kila member.kwao birthday kila mmoja wao anatumia kujitathimini ameendaje mwaka mzima,,,pili kumshukuru Mungu kwa kupewa hou mwaka ulioisha,,,tatu kumwomba Mungu miaka mingine ya kuishi na kufanya mapenzi ya Mungu.
Happy birthday my brethren.ukaishi ukazifurahie siku ulizopewa na Mwenyezi MUNGU.
thanks
Happy birthday to u mrembo [emoji8]
thanks my dearHappy Birthday Zuriel and many happy returns of the day.
hahahaa ya zamani beingsingleheri ya siku ya mfanano wa kuzaliwa (yuza nem yako ya zamani nimesahau, nikumbushe basi.)