Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,428
- 6,929
Mi nikajua we mwenyewe au baabako katimiza hiyo miaka 60,, ili tukutakie heri na baraka kumbe hawa wajasiliamali wa kisiasa agha!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa inaonekana unamchukia sana mboe alikua babako wa kufikiaMi nikajua we mwenyewe au baabako katimiza hiyo miaka 60,, ili tukutakie heri na baraka kumbe hawa wajasiliamali wa kisiasa agha!!!
punguza nyegeMwambieni Lisu na Lema waache kudanga Ulaya warudi Tanzania kula kwa jasho lao.
Wazazi wa mbowe wanajisikiaje kutuletea balaa la ugaidi watanzania
Babaako wakufikia ni wewe unaempa promo humujamaa inaonekana unamchukia sana mboe alikua babako wa kufikia
We miss himLeo ni siku yako ya kuzaliwa na unaiadhimisha ukiwa jela kutokana na kupigania Uhuru wa Nchi yako.
Mungu akupe maisha marefu
View attachment 1936625
Tuwaweke kwenye maombi, sio jambo rahisiMkewe na watoto wake sijui wapo hali gani kuona mume/baba ana sherehekea siku yake ya kuzaliwa jela. Tena kwa tuhuma za kusingiziwa
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Yeah, Mbowe anakula pesa za chama, Segerea! Una akili kubwa sana mkuu!Matumaini ya Watanzania wanabebwa na Watanzania wenyewe. Mbowe pekee hawezi kubeba matumaini ya Watanzania. Tatizo hapa ni kumuweka mtu mmoja juu ya wengine anaofanya nao kazi. Yaani tunakuwa na cultish belief kwamba hakuna mwingine isipokuwa yeye. Kwanza mtu mwenyewe kwenye uongozi ameonekana kupwaya, akiwa amejikita kwenye kula pesa ya CHADEMA. Amkeni, tujuwe CHADEMA HAINA KIONGOZI MMOJA TU. wAPO WENGI, NA KUSHIRIKIANA KWAO NDIYO KUTALETA MABADILIKO, SIYO IMANI KWA MTU MMOJA UTAFIKIRI mUNGU.
Huyu siyo ccm tu, ni sukumagang mjinga! Achana na mjane mkuu, hawezi kukuelewa!Nyamaza! Ni wazi umeshindwa kutoa hoja sasa unanilazimisha nikubaliane na wewe. Kama hautaki mawazo yangu basi wewe hauna tofauti na CCM isiyotaka mawazo mbadala na inaamua kuwafunga wenye mawazo mbadala, mkoloni Tanganyika hakuwahi kuwafunga wenye mawazo mbadala, aliwasikiliza.
Wewe ni sehemu ya walewale, Mbowe anateseka kwa kukosa uhuru wake wewe unoona yuko nyumbani kwakwe!
eh MANENO MAKALI HAYO BROToka mwamba anazaliwa nchi ilikuwa na shida ya maji chini ya lichama la mataahira hata kampeni ya 2025 yatapanda majukwaani kusema tutaleta maji pumbavu kabisa Yani miaka 65 baadae bado yameshindwa kusambaza maji wakati wamedhibiti rasilimali zote za taifa kwa miaka 65 mashetani wakubwa.
Hii ni siku kubwa saaaaana hongera Simba wa mapambano Freeman Mbowe!Waswahili wana msemo: "damu nzito kuliko maji ".
Tweet hii ya Zitto inaweza kuthibitisha usemi huu.
View attachment 1937539
Tangu kuanza kwa upinzani rasmi 1995, ccm huwa wako makini kumtarget mtu au watu au taasisi ambayo ina uungwaji mkono mkubwa na watanzania, dhidi ya serikali zake za kibaradhuli. Mwaka 1995, baada ya Agustino Mrema kujiengua ccm na kujiunga NCCR, nchi ilizizima, na Mrema mara moja akawa mlengwa. Kila mara alipigwa mabomu ya machozi, na NCCR ikalengwa kwa njama za kila aina. Baada ya NCCR kuporomoka, CUF ndio ikawa namba moja katika upinzani. Mara ooohhh, chama cha waarabu. Mara ooohh, watamleta sultani, na propaganda kemkem. Lipumba alishambuliwa na polisi mara kwa mara wakati huo.Matumaini ya Watanzania wanabebwa na Watanzania wenyewe. Mbowe pekee hawezi kubeba matumaini ya Watanzania. Tatizo hapa ni kumuweka mtu mmoja juu ya wengine anaofanya nao kazi.
Yaani tunakuwa na cultish belief kwamba hakuna mwingine isipokuwa yeye. Kwanza mtu mwenyewe kwenye uongozi ameonekana kupwaya, akiwa amejikita kwenye kula pesa ya CHADEMA.
Amkeni, tujuwe CHADEMA HAINA KIONGOZI MMOJA TU. WAPO WENGI, NA KUSHIRIKIANA KWAO NDIYO KUTALETA MABADILIKO, SIYO IMANI KWA MTU MMOJA UTAFIKIRI mUNGU.
Ni kweli Mbowe peke yake hawezi kufanya chochote. Lakini nguvu ya Mbowe, inayofanya serikali ya ccm ijiharishie, inayofanya hata mabalozi wa nje wanafuatilia kesi yake, ni kutokana na nguvu ya umma. Na nguvu hii haipatikani kimchezo. Ni kutokana na kujitoa muhanga kwa ajili ya maslahi ya wananchi. Mbowe ni iconic figure. Ni kama akina Yasser Arafat. Watu aina hiyo wanatengenezwa kwa kuvumilia mateso, vifungo vya magerezani, manyanyaso, nk. Wananchi hatuteswi, anaandamwa Mbowe. Ndio maana ni yeye anayepata heshima hiiMatumaini ya Watanzania wanabebwa na Watanzania wenyewe. Mbowe pekee hawezi kubeba matumaini ya Watanzania. Tatizo hapa ni kumuweka mtu mmoja juu ya wengine anaofanya nao kazi.
Hayo ya "cult" yalikuwa ya Magu. Huyu alitaka asifiwe na kuabudiwa. Kwa Mbowe ni mateso, vipigo, kesi kila uchao. Bila shaka watanzania wanajua kwamba huo ni uonevu, na ndio maana anapata sympathy yao. Ccm wanataka aonekane mhalifu. Lakini mtu mhalifu mbona anajulikana sana tu?Yaani tunakuwa na cultish belief kwamba hakuna mwingine isipokuwa yeye.