Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
The one I love.Happy birthday Mpenzi.
May all your dreams come true.
Umeanza ungese damu yangu😀😀Oya miaka mingapi unatimiza, hujataja umri ndio kitu kinacho nitatiza.../
Au pengine ni dogo na skuli hujamaliza, una hofia tukijua tutaacha kukusikiliza.../
Sio swala mwana heri ya siku ya kuzaliwa, cha msingi pumzi tu vingine majaliwa../
Mpe pongezi mama yako kabla hajatwaliwa, ikibidi mpe na zawadi nawe utabarikiwa.../
Nimekuja na box la zawadi, ukilifungua utakuta mistari sio kadi.../
Mistari nimeipanga kiustadi, ili ikupe faraja siku ya leo usiwe sad.../
Happy born day brother kaka, unajiskiaje kusherekea mwisho wa mwaka?
Mwisho wa mwaka ukiwa na uhakika wa kodi, ada za watoto, huna madeni afu una kibunda cha akiba...asikwambie mtu inakua ina vibe kichiziUmeanza ungese damu yangu😀😀
Hivi hii mwisho wa mwaka kitaalamu inaitwaje? Si ndo inakuwa powa tunakula na bia kabisa kwenye kile kitengo chetu?😀
Nashukuru sanaw dogo langu all the way from maghorofaniHappy birthday mkuu, Nakutakia heri na baraka katika maisha yako. Live your time, Live your part✌️
View attachment 2061565
ujumbe mzuri sana na wenye akiliMiaka inavyokatika ndio unausogelea umauti., tujitahidi kuishi vema, tusambaze upendo, tutende mema.
Kila la kheri mola ajalie ndoto na malengo yako kutimia.
Nashukuru sana mkuu blessed
Nimetimiza miaka 73 😀😀Happy birthday mkuu, I'm curious umetimiza miaka mingapi?
Nashukuru sana mzee babaKila la kheri kwenye siku yako ya kuzaliwa...
Nashukuru sana mkuu nimepokea.Heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwako...
More life!!
Nashukuru sana mkuu wangu nimepokea.heri ya siku ya kuzaliwa