Happy Born Day to me

Happy Born Day to me

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Namshukuru MUNGU kwa kuendelea kunipa pumzi hii, kitu ambacho ni adimu kuliko vyote.
Sifurahii umri kuongezeka maana siku za kuishi zinapungua bali umri unavyokwenda na uwezo wa kufikiri unaongezeka zaidi.

Happy birthday to me..
 
Oya miaka mingapi unatimiza, hujataja umri ndio kitu kinacho nitatiza.../

Au pengine ni dogo na skuli hujamaliza, una hofia tukijua tutaacha kukusikiliza.../

Sio swala mwana heri ya siku ya kuzaliwa, cha msingi pumzi tu vingine majaliwa../

Mpe pongezi mama yako kabla hajatwaliwa, ikibidi mpe na zawadi nawe utabarikiwa.../

Nimekuja na box la zawadi, ukilifungua utakuta mistari sio kadi.../

Mistari nimeipanga kiustadi, ili ikupe faraja siku ya leo usiwe sad.../

Happy born day brother kaka, unajiskiaje kusherekea mwisho wa mwaka?
 
Umeanza ungese damu yangu😀😀

Hivi hii mwisho wa mwaka kitaalamu inaitwaje? Si ndo inakuwa powa tunakula na bia kabisa kwenye kile kitengo chetu?😀
 
Happy birthday mkuu, Nakutakia heri na baraka katika maisha yako. Live your time, Live your part✌️
FB_IMG_16172960573148144.jpg
 
Miaka inavyokatika ndio unausogelea umauti., tujitahidi kuishi vema, tusambaze upendo, tutende mema.

Kila la kheri mola ajalie ndoto na malengo yako kutimia.
ujumbe mzuri sana na wenye akili
Nashukuru sana mkuu
 
Heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwako...

More life!!
 
Happy birthday mkuu, I'm curious umetimiza miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom