Happy bornday Alosto

Happy bornday Alosto

Hata kama kila uzi tatizo ni niniii bundle lako simu yao waambie wasikupangie
Kweli aisee..huku JF wewe comment zako upite sio kuanza kusema we jamaa kila mahali nakuona..inakera sana Dada angu
 
Mkuu joseverest kila uzi nakukuta sijui upo zamu. Had to him

Sio kila uzi majukwaa mengine mbona sikanyagi huko

Wasikupangie

kila uzi kila uzi...huwa watu nawaambia sio kila uzi bado hawanielewi

Hata kama kila uzi tatizo ni niniii bundle lako simu yako waambie wasikupangie

Kweli aisee..huku JF wewe comment zako upite sio kuanza kusema we jamaa kila mahali nakuona..inakera sana Dada angu

Ndio uwaambie wasikupangie kila mtu apambane na hali yake

Poapoa Sister
Wakuu huu uzi ni wa Birthday
 
Back
Top Bottom