Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
SuuuuUtanifanya nimkimbie mtu nije fastaaaa ๐๐๐
Waalaah ntaibiwa kwa msosi mie looh...!
Sema SU nikuyeee....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SuuuuUtanifanya nimkimbie mtu nije fastaaaa ๐๐๐
Waalaah ntaibiwa kwa msosi mie looh...!
Sema SU nikuyeee....
Let say A, A for Apple...
Let say B, B for Book
Let say C, C for Cat
Let say D, D for Dadiii (my Mahabati Tashtiti mfunga pingili za Mahaba ya Kasinde [emoji7]).
Kasie ni yupi sasa? ndio mpaka tufanye forensic investigation ila kuna wanaume wenzetu wanafaidi humu duniani. Boxing day njemaMabibi na Mabwana wa JF....
Kasinde
View attachment 2058423
na Mahabibi wake (Da.....) tunawatakia siku ya ufunguaji maboksi mwema.
Yetu tushafungua
View attachment 2058411
tukiwa na pajama
View attachment 2058413
(Usiulize maswali, sina majibu)
sasa twaenda sakata rhumba viunga vya baharini...... si kwa joto hili la Mbagala....
View attachment 2058416
Enjoy your day, with Love...
Kasinde and Mahabibi wake D.....
Hapana sikumbuki kutupia selfie kule...
Kama ni mdau wa nyuzi za Kasie huwa naweka mara nyingi taswira yangu na ya dash dash wangu ๐.
Mkuu ujue kuna tofauti ndogo sana kati ya Kung-Fu na Lugha ya ishara wanayotumia viziwi.
Picha ikitumika kama mfano wa kufundishia hurahisisha hilo zoezi.. Nitafuatilia