Dah! Nimekula kwa macho. Hicho cha kwenye kitoto ndoo ndo cha kwetu OG. Bila hiyo kitu, bado krismasi haijakamilika ujue.
Nadhani hakijachakachuliwa hata kidogo. Desemba hii, Kitochi bado kinatembea kwa buku moja hadi buku jero.
Aithee; Nakutakiwa Heri ya mwaka mpya.